1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Burudani la Karibuni

Saumu Yusuf16 Juni 2023

Kwenye burudani la karibuni tunajimwaga jamvini na msanii maarufu wa Mombasa,Kenya, Mama Fathma/Idriss Salim Kidogo,miongoni mwa mengi ametusimulia jinsi alivyovamiwa hivi karibuni na vijana waliomfanyia ukatili,kwa tuhuma za kumuhisi anajihusisha na mapenzi ya Jinsia moja. Jiunge na Saumu Mwasimba kwenye maskani hii ya Karibuni.

https://p.dw.com/p/4SgZj
Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Makala zetu