1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bundesliga kuendelea licha ya COVID-19 Dynamo Dresden

Josephat Charo
11 Mei 2020

Mkuu wa bodi ya ligi ya Bundesliga, DFL, Christian Seifert amesema kuanza kwa ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani, Bundesliga, hakuko hatarini licha ya kikosi kizima cha timu ya daraja la pili Dynamo Dresden kuwekwa karantini.

https://p.dw.com/p/3c2Y3