1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Bayern yashinda Bundesliga, Sociedad yabeba Copa del Rey

Josephat Charo
20 Aprili 2026

Bayern Munich wameshinda taji la ligi kuu ya kandanda ya Ujerumani Bundesliga kwa kuikandika Stuttgart 4-2 Jumapili. Maingwa hao wa Bavaria wameshinda taji la Bundesliga kwa mara ya 13 katika kipindi cha miaka 14.

https://p.dw.com/p/5CUaP