1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Bayerische Motorenwerke (BMW)

BMW ni mmoja ya makampuni makubwa ya utengenezaji magari ya Ujerumani, pikipiki na injini. Kwa mauzo, chapa yake kuu ya BMW ni miongoni mwa magari 15 ya juu duniani.

BMW, Audi na Mercedes-Benz ndiyo chapa za magari ya kifahari ya Kijerumani yanayoongoza kw amauzo duniani. Kampuni hiyo ya Bavaria iliasisiwa mwaka 1916 na ina makao yake mkuu mjini Munich. Pia inamiliki na kutengeneza magari aina ya Mini, na ndiyo kampuni mama ya kiwanda kinachotengeneza magari ya Rolls-Royce.