Je ni kweli kwamba ″Magari makubwa = Faida kubwa?″ | Mada zote | DW | 13.08.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Je ni kweli kwamba "Magari makubwa = Faida kubwa?"

Sio muda mrefu uliopita, iliaminika kwamba magari makubwa ya kifahari hutengeneza faida kubwa kwa wazalishaji. Lakini kulingana na utafiti mpya, hili si ukweli tena, ingawa kwa baadhi ya chapa bado lina ukweli.