1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Baraza za Kahawa

Amina Mjahid
12 Februari 2020

Baraza za kahawa ni maarifu sana visiwani Zanzibar. Vijana kwa wazee hukutana hapo kunywa kahawa na tangawizi ambavyo ni vinywaji maarufu vya dahari na karne. Salma Saidi anakueleza zaidi kile kinachotokea katika Baraza hizo katika video hii. #kurunzi 12.02.2020

https://p.dw.com/p/3XgWs