Banda wa Zambia kuzungumzia kufutwa kwa chama chake | Matukio ya Afrika | DW | 15.03.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Matukio ya Afrika

Banda wa Zambia kuzungumzia kufutwa kwa chama chake

Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda, anatarajiwa kukutana na waandishi habari mchana huu mjini Lusaka, siku moja baada ya chama chake cha Movement for Multiparty Democracy kufutwa na kupoteza nafasi zote za ubunge.

Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda.

Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda.

MMD kimefutwa baada ya kushindwa kulipa ada za usajili na sasa wabunge wake wote 53 si wabunge tena. Pendo Paul amezungumza na Joel Mukupa, mshauri wa vyombo vya habari nchini Zambia kuhusiana na sakata hilo la aina yake katika historia ya karibuni ya kisiasa barani Afrika. Kusikiliza mahojiano haya, tafadhali bonyeza alama za spika za masikioni hapo chini.

Mahojiano: Pendo Paul/Joel Mukupa
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada