Bahari ya Hindi yawaokoa wajane na yatima Somalia | Media Center | DW | 14.05.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Bahari ya Hindi yawaokoa wajane na yatima Somalia

Wajane na watoto yatima nchini Somalia wazumbua njia ya kujipatia riziki ya kila siku katika bahari ya Hindi kusini mwa mji wa Mogadishu.Katika fukwe ya bahari hiyo wengi huingia asubuhi na kuondoka jioni wakihangaika kuchimba chokaa ya mawe katika bahari hiyo.Tazama vidio ya DW iliyochukuliwa na Sadab Kaaya.

Tazama vidio 01:00
Sasa moja kwa moja
dakika (0)