1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Azali Assoumani ataka mamlaka kamili Comoro

3 Septemba 2019

Bunge la Comoro Jumanne linatarajiwa kujadili pendekezo la rais wa nchi hiyo Azali Assoumani la kutaka apewe mamlaka ya kupitisha mambo kwa kutia saini yeye mwenyewe bila hata kupitishwa na bunge.

https://p.dw.com/p/3Ovnd