1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Audi

Audi ni kampuni ya utengenezaji wa magari ya kifahari ya nchini Ujerumani yenye makao yake mjini Ingolstadt. Ni mmoja ya chapa 12 za kampuni ya Volkswagen na kwa hivyo ilihusika katika kashfa ya udanganyifu ya VW.

Kampuni hiyo ya magari imeungana na BMW na Mercedes-Benz kununua kampuni ya HERE ambayo inatoa huduma za data za ramani kutoka Nokia ili kuunda jukwaa ambako magari ya kisasa yanaweza kushirikishana data kuhusu hali ya barabara na usafiri.