1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Asubuhi: Taarifa ya Habari tarehe 23.01.2020

V2 / S12S23 Januari 2020

Wataalam wa Umoja wa Mataifa wataka uchunguzi kufanywa haraka, dhidi ya madai kuwa Saudi Arabia ilihusika katika njama ya kuidukua simu ya mkurugenzi mkuu wa kampuni ya Amazon.// China yasitisha safari za umma katika mji wa Wuhan kufuatia mlipuko wa virusi, Corona. / Umoja wa Mataifa wasema watu 19 wameuawa Sudan Kusini kufuatia shambulizi katika eneo linalozozaniwa la Abyei, mpakani na Sudan.

https://p.dw.com/p/3Wfkk