Apps zinazorahisisha maisha barani Afrika | Media Center | DW | 14.05.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Apps zinazorahisisha maisha barani Afrika

Apps sio kitu kigeni kwa Waafrika. Apps za kila aina tayari zinatumika barani Afrika kubadilisha maisha ya watu wa kawaida. Apps hizo zinatumika vijijini katika masuala ya uvuvi na hadi mijini kuwasaidia wakaazi kuziepuka barabara zenye msongamano wa magari. Kipindi cha Sema Uvume kinaangalia Apps tatu tofauto na jinsi zinavyotumika kurahisisha maisha ya Waafrika.

Sikiliza sauti 09:45