App ya Uber yatishia madereva taxi Nairobi | Masuala ya Jamii | DW | 10.02.2016
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages
Matangazo

Masuala ya Jamii

App ya Uber yatishia madereva taxi Nairobi

Kipindi cha Sema Uvume wiki hii kinaangalia mzozo wa App ya Uber na waendesha taxi jijini Nairobi, Facebook inavyotumika kuchochea ghasia Mashariki ya Kati na umuhimu wa WhatsApp kwa jamii.

Sikiliza sauti 09:45

Sikiliza Sema Uvume na Elizabeth Shoo

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

Matangazo

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com