1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

App ya AfriScout inavyowasaidia wafugaji kutafuta maji na malisho

10 Oktoba 2018

Katika makala ya Sema Uvume Amina Abubakar anaangazia namna program ya simu ya mkononi au App ya Afriscout inayowasaidia wakulima wa mifugo walio katika maeneo yalio kame kupata chakula na maji kwa mifugo yao. Paia anamulika teknolojia ya kutoboa sehemu ya utumbo mkubwa wa ng'ombe nchini Tanzania kwaajili ya kufanya utafiti wa namna mmeng'enyo wa chakula unavyokwenda katika tumbo la mnyama.

https://p.dw.com/p/36HTK