Angola: Tajiri wa mafuta mwenye sura nyingi | Mada zote | DW | 13.11.2015
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Mafuta ya Angola

Angola: Tajiri wa mafuta mwenye sura nyingi

Angola inashika nafasi ya pili barani Afrika katika nchi zinazochimba mafuta kwa wingi. Hivi karibuni Angola inatarajia pia kuuza gesi. Wakati uchumi wa nchi hiyo ukikuwa, tofauti katika jamii zinaongezeka.