1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Andry Rajoelina

Andry Nirina Rajoelina ni mwanasiasa wa Malagasy, mfanyabiashara na rais wa sasa wa Madagascar. Alianzia kazi kwenye sekta binafsi, akianza kwa kuandaa matukio kwenye kisiwa hicho na kisha kuwekeza kwenye matangazo.

Rajoelina alikuwa meya wa Antananarivo kuanzia 2007 - 2009, na rais mamlaka ya juu ya mpito ya Madagascar HAT, kuanzia Machi 21, 2009 hadi Januari 25, 2014 baada ya uchaguzi kufanyika 2013. Baada ya kuachia madaraka kama rais wa HAT, alisalia kuwa kiongozi wa chama cha walio wengi, MAPAR. Baada ya kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka 2018, aliapishwa Januari 19, 2019.

Onesha makala zaidi