1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Amazon

Mtandao wa Amazon.com ulianza kama duka la vitabu tu mtandaoni mwaka 1995. Punde ukajiingiza kwenye uuzaji wa bidhaa nyengine nyingi na huduma kimataifa.

Jeff Bezos alianzisha biashara hiyo kwenye gereji yake mjini Seattle, Washington na sasa ndiye Mkurugenzi Mkuu Muendeshaji wake. Kwa hisa na mapato yake kwenye soko, Amazon ni kampuni kubwa kabisa ya mauzo ya rejareja mtandaoni, ambapo kufikia mwaka 2014 mauzo yake yalikuwa yamekusanya dola bilioni 88.99 (kiasi cha euro bilioni 80).

Onesha makala zaidi