1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Alternative für Deutschland - AfD

Alternative für Deutschland (AfD) - Ni chama chenye msimamo mkali nchini Ujerumani ambacho mwasisi wake alijiondoa´kutoka chama cha Angela Merkel cha Christian Democratic Union CDU.

AfD “Mbadala wa Ujerumani“ ni chama kinachopingana na sarafu ya euro nchini Ujerumani, ambacho kilianzishwa mwaka 2013. Kitaifa, chama hiki kinaungwa mkono na chini ya asilimia tano ya watu, lakini kimeweza kujipenyeza kwenye mabunge kadhaa ya majimbo. Hoja kuu ya AfD ni kuwa sarafu ya euro imeshindwa na inahatarisha mustakabali wa Umoja wa Ulaya kwa kuzisaidia nchi masikini na chumi zisizokuwa na manufaa, jambo ambalo linakibebesha mzigo kizazi kijacho.

Onesha makala zaidi