1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Alexander Gerst

Alexander Gerst ni daktari ya Jiofizikia aliesomea Karlsruhe, New Zealand na Hamburg. Ni mwana anga wa Ujerumani aliekuwa sehemu ya chombo kilichokwenda kwenye kituo cha anga cha kimataifa kuanzia Mei hadi Novemba 2014.

Gerst aliezaliwa Mei 3, 1976 alikuwa mashghuli sana kwenye mtandao wa twitter wakati akiwa angani, chini ya anuani ya @Astro_Alex. Huu ni mkusanyiko wa maudhui za DW kuhusu mwana anga huyo.