1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Albania

Albania ni nchi iliyopo kusinimashariki mwa Ulaya. Mji wake mkuu ni Tirana. Inapakana na Montenegro, Kosovo, Jamhuri ya Macedonia na Ugiriki.

Albania ni nchi ya kidemokrasia ambayo imewasilisha rasmi maombi ya kuwa mwanachama wa Umoja wa Ulaya. Uchumi wake unategemea kwa sehemu kubwa sekta ya huduma, lakini viwanda na kilimo pia vinatoa mchango muhimu. Dini kuu ya Albania ni Uislamu, lakini inayo jamii kubwa ya Wakristo wachache. Katika ukurasa huu unaweza kupata mkusanyiko wa moja kwa moja wa maudhui za DW kuhusu Albania.