Aisili ya Afrika: Kutana na Nelson Mandela | Asili ya Afrika | DW | 08.06.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Asili ya Afrika

Aisili ya Afrika: Kutana na Nelson Mandela

Nelson Mandela ni moja kati ya wapigania uhuru nguli wanaopendwa Afrika. Aliwekwa gerezani kwa takriban miongo mitatu Afrika Kusini, kwa sababu ya kupinga utawala wa watu weupe, lakini baadaye aliibuka kuwa mhubiri wa ujumbe wa amani na uhuru kwa watu wote.

Sikiliza sauti 04:47