1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii

7 Septemba 2018

Katika makala ya Afrika Wiki Hii utasikia taarifa mbalimbali ikiwemo kutimia mwaka mmoja tangu Tundu Lissu mwanasiasa wa upinzani Tanzania apigwe risasi na watu wasiojulikana, China yaiahidi Afrika msaada wa Dola bilioni 60 na mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda, Bobi Wine aahidi kurejea Uganda kuendeleza mapambano dhidi ya serikali ya Rais Museveni. Kwa hayo na mengine mengi ungana na Caro Robi

https://p.dw.com/p/34VMK