1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika Wiki Hii 16.10. 2020

Sylvia Mwehozi16 Oktoba 2020

Miongoni mwa niliyo nayo ni pamoja moto uliozuka katika mlima kilimanjaro nchini Tanzania na juhudi za kuudhibiti, kampeni za uchaguzi nchini humo zinaingia ngwe ya lala salama, Rwanda yatangaza kuruhusu kilimo cha bangi, Wasiwasi wazuka kenya juu ya kunyamazishwa kwa vyombo vya habari na Guinea inafanya uchaguzi wake mkuu Jumapili hii

https://p.dw.com/p/3k2gJ