1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Afrika katika magazeti ya Ujerumani

Zainab Aziz
23 Februari 2024

Matukio na masuala ya barani Afrika yaliyozingatiwa kwenye magazeti ya Ujerumani mnamo wiki hii ni pamoja na matukio ya kisiasa nchini Senegal baada ya rais Macky Sall kukubali uchaguzi ufanyike ingawa hakusema ni lini. Ukweli kujulikana mnamo mwezi Mei nchini Afrika Kusini ambapo watu wa nchi hiyo watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu. Mtayarishaji ni Zainab Aziz.

https://p.dw.com/p/4cnWk