1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Adha ya maji yapata ufumbuzi baada ya ripoti ya DW Kiswahili

21 Oktoba 2020

Wakaazi wa kijiji cha Mutaho kwenye mlima Nyiragongo huko DRC wamepata huduma ya maji baada ya ripoti ya DW Kiswahili iliyokuwa ikionesha adha ya ukosefu wa huduma hiyo. Walikuwa wakitumia maji ya migomba ambayo nayo yalikuwa yakikauka msimu wa kiangazi. #kurunzi

https://p.dw.com/p/3kFHY