1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

ADF waendelea na mauaji ya raia Beni, DR Kongo

John Kanyunyu18 Novemba 2019

Wakati operesheni kabambe dhidi ya waasi kutoka Uganda ADF zikiendelea katika wilaya ya Beni, raia si chini ya 50 wanatajwa kuuawa na ADF katika kipindi cha wiki tatu.

https://p.dw.com/p/3TDy3