31.10.2018 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 31.10.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

31.10.2018 Matangazo ya Jioni

Hatimaye safari ya mwili wa mfantakazi mwenzetu Isaac Gamba kutoka Bonn Ujerumani hadi Bunda mkoani Mara imekamilika katika kijiji cha Wanyere// Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa mkoa wa Pwani nchini Kenya leo walikusanyika mjini Kilifi mkoani humo kwa zoezi la kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya bila malipo kwa watu wanaougua Saratani.

Sikiliza sauti 60:00