1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.10.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Oktoba 2018

Hatimaye safari ya mwili wa mfantakazi mwenzetu Isaac Gamba kutoka Bonn Ujerumani hadi Bunda mkoani Mara imekamilika katika kijiji cha Wanyere// Mamia kwa maelfu ya wakaazi wa mkoa wa Pwani nchini Kenya leo walikusanyika mjini Kilifi mkoani humo kwa zoezi la kufanyiwa uchunguzi na matibabu ya bila malipo kwa watu wanaougua Saratani.

https://p.dw.com/p/37T0W