1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.08.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Agosti 2021

Mawakili wa Mbowe wameiomba mahakama kumuachilia huru, wakidai mahakama hiyo haina mamalaka kisheria kusikiza kesi hiyo+++Bunge la Tanzania limetoa maamuzi ya adhabu kwa wabunge wawili wa chama cha mapinduzi CCM, akiwemo Josephat Gwajima+++Brussels- Mawaziri wa sheria na mambo ya ndani wa Umoja wa Ulaya wanakutana hivi leo kujadiliana juu ya hatua za Taliban kuingia madarakani nchini Afghanistan.

https://p.dw.com/p/3zk37