1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.08.2017 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Agosti 2017

Shughuli ya kuwaapisha wabunge 349 wa maeneo bunge 290 pamoja na maseneta 47 imekamilika nchini Kenya// Rais Paul Kagame wa Rwanda amelionya baraza jipya la mawaziri lililoapishwa leo mjini Kigali kuchukua hatua kali kwa wale watakaoshindwa kutekeleza majukumu yao// Wakimbizi wa Burundi walioko nchini Tanzania wataanza safari ya kwanza kurejea nyumbani kwao Septemba saba mwaka huu.

https://p.dw.com/p/2jABV