1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.07.2018 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Julai 2018

Zimbabwe- Kila mmoja kati ya wagombea wawili wakuu, rais wa Emmerson Mnangagwa na mpinzani wake mkuu, kiongozi wa vuguvugu la mageuzi ya kidemokrasia MDC Nelson Chamisa anajinata na kusema ana matumaini ya kushinda uchaguzi wa kwanza huru kuwahi kuitishwa baada ya miongo minne ya utawala wa Robert Mugabe.

https://p.dw.com/p/32OxU