1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.07.2018 Matangazo Mchana

SK2 / S02S31 Julai 2018

Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa yuko tayari kukutana na viongozi wa Iran wakati wowote bila masharti yoyote, ili kujadili namna ya kuimarisha mahusiano baada ya kuiondoa Marekani kutoka mkataba wa nyuklia wa Iran wa mwaka wa 2015.

https://p.dw.com/p/32Nfo