1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.05.2019 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Mei 2019

Waziri wa mambo ya kigeni wa Marekani Mike Pompeo amesema leo kwamba nchi yake haitaziba njia dhidi ya mfumo wa mataifa ya Ulaya// Viongozi wa kijeshi nchini Sudan wamesema waandamanaji waliopiga kambi mbele ya jengo la wizara ya ulinzi mjini Khartoum wamekuwa kitisho kwa uthabiti wa kitaifa

https://p.dw.com/p/3JZvU