Ukraine imesema ilidaganya kuwa mwanahabari wa Urusi Arkady Babchenko alikuwa ameuawa // Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Mashariki ya Kati aonya kuwa kuongezeka kwa machafuko kunaisogeza Gaza kwenye ukingo wa vita // Na Zimbabwe imekataa ombi la raia wake wanaoishi ng'ambo kupiga kura katika uchaguzi ujao