1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.03.2022 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Machi 2022

Wakimbizi kutoka Ukraine wapindukia milioni 4/ Serikali ya umoja wa kitaifa Zanzibar imeingia katika mtihani wa kiuongozi/ Rais Tanzania apokea ripoti ya mkaguzi wa hesabu za serikali/ Majeshi ya Uganda yameimarisha doria kwenye mpaka wake na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo/ Serikali, Waasi washutumiana kutofika misaada ya kiutu Tigray

https://p.dw.com/p/49FPj