1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.03.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S31 Machi 2021

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko katika baraza lake la mawaziri// Ureno imeahidi kuwapeleka wanajeshi 60 kuwapa mafunzo wanajeshi wa Msumbiji mwezi ujao kwa ajili ya kupambana na magaidi hao wanaowahangaisha raia// Shirika la kutetea haki, Human Rights Watch- limesema kuwa mamlaka nchini Rwanda imewatolea vitisho.

https://p.dw.com/p/3rRnX