1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

31.03.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S31 Machi 2020

Italia inaongoza kwa idadi ya vifo ulimwenguni kote ikiwa imeripoti jumla ya vifo 11,591// Tanzania imethibitisha kifo cha kwanza kutokana na maradhi ya COVID-19 yanayosababishwa na virusi vya corona// Rais wa Uganda Yoweri Museveni atoa amri ya kusalia majumbani kote nchini humo// Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia umefanya mashambulizi kadhaa ya anga kwenye mji mkuu wa Yemen, Sanaa.

https://p.dw.com/p/3aFYf