30.10.2019 Matangazo ya Mchana | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.10.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

30.10.2019 Matangazo ya Mchana

Serikali ya Lebanon yaanguka, waandamanaji wadai zaidi/ Saad Hariri alitangaza kujiuzulu kufuatia wiki kadhaa za maandamano dhidi ya serikali yake. Lakini hata kama hatua hii inamaanisha ushindi kwa waandamanaji, je ushindi huo una utata gani ndani yake? >Uchambuzi / Mafahali wa Syria wakutana katika meza ya mazungumzo Geneva/ Kongo: Zaidi ya wapiganaji mia sita wa Maimai wamesalimisha silaha zao

Sikiliza sauti 60:00