1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.10.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Oktoba 2019

Tume ya kutunga katiba nchini Syria imehitaji miaka miwili kuweza kuundwa. Hii leo tume hiyo inakutana kwa kikao chake cha kwanza mjini Geneva/ Hivi karibuni wanawake kadhaa wameonekana kushika nyadhifa za juu za makampuni na taasisi kubwa duniani/ Wavuvi nchini Tanzaniawamedai kukabiliwa na hali ngumu ya uvuaji wa dagaa

https://p.dw.com/p/3SAgd