30.09.2021 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 30.09.2021
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

30.09.2021 Matangazo ya Jioni

KANU yamteua Gideon Moi kuwania urais Kenya 2022+++Rais wa zamani wa Ufaransa Nicolas Sarkozy amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela na korti ya Paris +++Biashara ya ndani ya jumuiya ya Afrika Mashariki yadorora +++Maafisa wa China na Marekani wamekutana kutafuta njia za kusawazisha tofauti zao kwenye masuala ya kibiashara, kiteknolojia na kijeshi yaliyosababisha mivutano mikali kati yao.

Sikiliza sauti 60:00