3009.2019 Matangazo ya Jioni | IDHAA YA KISWAHILI | DW | 30.09.2019
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

IDHAA YA KISWAHILI

3009.2019 Matangazo ya Jioni

Wafarana na viongozi wadun ia wampa hishma za mwisho Jacques Chirac/ Waasi wa Houthi wamewaachia huru mamia ya watu waliokuwa wakiwashikilia kama wafungwa kwenye maeneo wanayoyadhibiti/ Watuhumiwa wa uhujumu wa uchumi Tanzania waomba msamaha> Mahojiano/ Brexit: Johnson amekanusha tuhuma za kumshika mwandishi wa habari wa kike katika njia isiyofaa miaka 20 iliyopita. Tuhuma hizo ziliugubika

Sikiliza sauti 60:00