1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.08.2019 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Agosti 2019

Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson anataka kuiondoa nchi yake katika Umoja wa Ulaya ifikapo Oktoba 31, ikiwa itakuwa imepata makubaliano ya Umoja wa Ulaya au la// Marekani inapania kukamilisha mpango wa kumaliza vita vya Afghanistan na Taliban vilivyodumu kwa takriban miaka 18 sasa// Rwanda na UNHCRR kuhudumia wakimbizi wote wanaoishi kwenye miji yote ya Rwanda.

https://p.dw.com/p/3OjbR