1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.07.2020 Matangazo Ya Jioni

SK2 / S02S30 Julai 2020

Umoja wa Mataifa umesema kuwa zaidi ya raia 100, miongoni mwao wanawake na watoto, waliuawa wakati wa mapigano nchini Libya kati ya mwezi Aprili na Juni// Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha hoja juu ya uwezekano wa kucheleweshwa kwa uchaguzi wa rais

https://p.dw.com/p/3gBxb