30.06.2020 Matangazo ya Jioni | Media Center | DW | 30.06.2020
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

30.06.2020 Matangazo ya Jioni

Katika hotuba yake ya kuadhimisha miaka 60 ya uhuru wa nchi yake, Rais wa DRC Felix Tshisekedi amekataa katakata mabadiliko yoyote katika sekta ya sheria nchini mwake// CCM Zanzibar warejesha fomu, ACT wafungua pazia// Polisi nchini Kenya, wamemulikwa kwa ukiukwaji wa Haki za Binadamu kipindi hiki cha COVID-19 nchini humo// Uturuki jana kawapeleka kwa wingi wapiganaji nchini Libya.

Sikiliza sauti 60:00