1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.06.2020 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Juni 2020

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inaadhimisha miaka 60 ya uhuru wake// Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya watoto, Unicef limeonya kwamba mamilioni ya watoto huenda wakatumbukia kwenye janga la njaa// Kifo cha mmarekani mweusi George Floyd mikononi mwa polisi kilisababisha vuguvugu la maandamano makubwa duniani kote, lakini maandamano pekee hayataleta mabadiliko yanayotakiwa.

https://p.dw.com/p/3eYSn