1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.04.2021 Matangazo ya Jioni

SK2 / S02S30 Aprili 2021

Tanzania- Hotuba ya Rais Samia Suluhu// Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, limeandaa mkutano wake wa kwanza juu ya hatari ya mamluki nchini Libya kuingia katika mataifa mengine kama vile Chad// Serikali ya Kenya imeridhia kauli ya viongozi wa kiislamu ya kutoa msaada kwa wasiojiweza kwa ajili ya kupata futari kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani.

https://p.dw.com/p/3soYl