1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.04.20119 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Aprili 2019

Kama rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa mwezi Aprili, Ujerumani iligonga vichwa vya habari kwa kufungua pazia za Baraza hilo ili kuingiza mwanga, jambo ambalo halijafanyika kwa miongo kadhaa// (Urusi na Iran wote wanaiengaenga Korea Kaskazini wakati sera ya Marekani ya kujenga au kobomoa kuelekea taifa hilo lenye silaha za nyuklia ikiwa kwenye mparaganyiko.

https://p.dw.com/p/3HgAk