1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.03.2021 Matangazo ya Asubuhi

TSA / S08S30 Machi 2021

Muungano wa asasi za kiraia nchini Tanzania AZAKI umetoa wito wa haraka kwa Rais Samia Suluhu kuchukua hatua ya kufanya mabadiliko ya sheria kuhusu mashirika ya kiraia// Maoni- Neno Mama linaonesha heshima na sioni kama linapunguza chochote katika mamlaka yake ya urais// Miezi 18 imepita tangu maandamano makubwa yalipoiangusha serikali ya Lebanon.

https://p.dw.com/p/3rMoE