1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.03.2020 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S30 Machi 2020

Watu 200,000 huenda wakafa kwa corona, Marekani/ Corona: Je, kipi bora zaidi kati ya kulinda afya ya kila mmoja wetu au kujilinda dhidi ya kuporomoka kwa uchumi?/ Masharika ya haki za binadamu yataka haki kwa wakazi wa Mombasa nchini Kenya./ Raia wa Burundi wakwama katika mpaka kati ya Tanzania na Burundi./ Polisi yakabiliana na wafuasi wa kiongozi wa kidini Kinshasa

https://p.dw.com/p/3aBSf