1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

30.01.2018 Matangazo ya Mchana

SK2 / S02S30 Januari 2018

Mamia kadhaa ya wafuasi wa kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga wamekusanyika hii leo katika uwanja wa Uhuru Park, wakiwa na nia ya kumuapisha kuwa rais// Serikali nchini Kenya imevizima vituo kadhaa vya televisheni na radio katika kile kinachosadikiwa ni kukiuka onyo la serikali la kutorusha matangazo ya moja kwa moja ya kuapishwa kwa kiongozi wa upinzani, Raila Odinga.

https://p.dw.com/p/2rlVT